Saturday, March 25, 2017

NAPE ,MWAKYEMBE USO KWA USO UWANJA WA TAIFA

Aliyekuwa waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo Mh Nape Nnauye wamekutana ana kwa ana na waziri wa sasa wa Wizara hiyo Dkt Harrison Mwakyembe katika uwanja wa Taifa  ili kushuhudia mpambano kati ya Taifa star na Botswana.Katika viwanja hivyo Mh Nape aliingia uwanjani akishangiliwa na mashabiki wa soka kwa vifijo na nderemo naye aliwapungia mikono kwa upendo.
Nape na Mwakyembe wakibadilishana mawazo uwanjani halo.

Mh Nape akisalimiana na mashabiki wa soka uwanjani halo.