HABARI NYEPESINYEPESI


MAFUNZO YA TOVUTI YANAENDELEA MKOANI MTWARA
Mafunzo ya utengenezaji na utumiaji wa tovuti za halmashauri na sekretareti za mikoa yana endelea vizuri wawezeshaji wa shughuli hiyo wako vizuri na wanachapa kazi mara ifikapo tarehe 27 Machi mwaka huu zitakuwa hewani zote