Tuesday, March 28, 2017

MHE NAPE AKABIDHI OFISI RASMI

Aliyekuwa waziri wa Habari,Utamaduni na Michezo,Nape Nnauye Leo amemkabidhi rasmi Mhe.Dkt Harrison Mwakyembe kama waziri wa sasa wa Wizara hiyo.