Saturday, July 22, 2017

Hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Magufuli mkoani Kigoma

Dk Magufuli Leo amezungumza na wananchi wa Kigoma Leo hii na kuwaahidi kuwalipa Maendeleo kama alivyoahidi wakati akiomba kura wakati wa uchaguzi MKUU wa mwaka 2015,aidha amewashukuru wanakigoma kwa kumchagua  kwa kura nyingi.